Loading Events WorkSource Seattle-King County Swahili speakers only -Rejea Maabara Swahili Résumé and Cover Letter – WorkSource Seattle-King County
arrow leftGo to Back to Calendar

Swahili speakers only -Rejea Maabara Swahili Résumé and Cover Letter

December 27
Friday | 11:00am - 12:00pm

CalendarPlusAdd to Calendar December 27 11:00am 12/27/2024 12:00pm America/Los_Angeles Swahili speakers only -Rejea Maabara Swahili Résumé and Cover Letter Kufanikiwa na kutafuta kazi ni muhimu uchukuwa wakati ku somea vitu maajirii wanachotaka. Jambo mawili kati ya misingi minne yanayo…

Chumba: Zoom

Workshop Language: English

Approved Unemployment Insurance (UI) Job Search Activity: Yes

Description:

Kufanikiwa na kutafuta kazi ni muhimu uchukuwa wakati ku somea vitu maajirii wanachotaka. Jambo mawili kati ya misingi minne yanayo husiana na mawasiliano na waajiri wakati wa kutafuta kazi ni; ya kwanza; kujieleza wewe ni nani na kuonyesha vitu unavyo vijua. Kisha ya pil ni; kuoneshana ujuzi unachopaswa kuzifanya. Jifunze ni rejea gani na barua ya maombi ipi ndizo bora kuonyesha ujuzi zako ndipo uwavutie waajiri na pia kusababisha mahojiano zaidi! Orodha ya wanaosubiri ni otomatiki. Ikiwa mtu ataghairi usajili, mtu anayofuata katika orodha ya kusubiri atajulishwa. Kila ujulishaji ya orodha ya kusubiri iliyo otomatiki ita tumwa saa mbili za asubuhi siku moja kabla ya warsha. Usipo pata ujulishaji kwa wakati huo, usitarajie kuhudhuria hiyo warsha na inapaswa kujiandikisha katika warsha siku zijazo.

 

Wakati zingine, ujumbe kutoka mratibu inaweza kuelekezwa kwenye folda yako ya taka. Tafadhali angalia folda yako ya taka kwa ujumbe wako ama mialiko. Ukijiandikisha kwa hii tukio, tafadhali tumia jina na barua pepe ile ile uliyo tumia kwa akaunti ya worksourcewa.com. Ukiwa na maswali ama mabadiliko, mjulishe mratibu alietajwa hapo juu. Ukihitaji usaidizi ya watu wenye ulemavu, tafadhali mwasili mwezeshaji alie tajwa katika hii tukio. Patiana jina lako, ombi la musaidizi ya watu wenye ulemavu, na mji wa makazi. Kama utahitaji usaidizi zaidi kushirikia hili mafunzo, tafadhali wasiliana na Leila Abdikarim kwa Leila@tracassoc.com. Tafadhali patiana jina lako, mahitaji/maombi lako, na sehemu/mji unayo kaa. Tafadhali ulizia mahitaji yako na mapema ndipo mpangilio liwezwe kufanywa.