Loading Events WorkSource Seattle-King County Swahili Speakers ONLY- SEMINA YA MTANDAONI KATIKA MKOA – Mikakati wa kutafuta kazi /Job Search Strategies – WorkSource Seattle-King County
arrow leftGo to Back to Calendar

Swahili Speakers ONLY- SEMINA YA MTANDAONI KATIKA MKOA – Mikakati wa kutafuta kazi /Job Search Strategies

January 03
Friday | 11:00am - 12:00pm

CalendarPlusAdd to Calendar January 03 11:00am 01/03/2025 12:00pm America/Los_Angeles Swahili Speakers ONLY- SEMINA YA MTANDAONI KATIKA MKOA – Mikakati wa kutafuta kazi /Job Search Strategies Kujulia juu ya waajiri katika eneo lako na kuunda mikakati la lengo za kutafuta kazi, ndio kifunguo cha mafanikio. Katika…

Jiandikishe Katika eneo la mtandao wa Zoom: Jinsi na namna ya kuingia katika katiba la darsa , utapewa kiunga na habari wa program masaa mmoja kabla semina kuanza.

Workshop Language: English

Approved Unemployment Insurance (UI) Job Search Activity: Yes

Kujulia juu ya waajiri katika eneo lako na kuunda mikakati la lengo za kutafuta kazi, ndio kifunguo cha mafanikio. Katika darasa la mikakati vya kutafuta kazi, utajifunza namna nyingi ya mbinu ya kutafuta kazi. Hii darsa lita patiana bakshishi ya thamani juu ya soko la ajira na kukuwasilisha aina zengina za mikakati kama  muungano wa mtandao, habari kuhusu mahojiano, na jinsi la kutumia mtandao kupata fursa za kazi

 

 

Tafadhali nenda katika eneo la WorkSourceWA.com na ujenge akaunti lako kabla kuanza semina.

Kabla Kujiandikisha, anagalia kama uko na manufaa wa mtandao utakayo weza kutumia kwa hili semina. Angalia hapa. Filamu la hili semina lita tumia nguvuna nafasi nyingi za mtandao. Kabla kujiandikisha, hakikisha uko na WiFi na nguvu/nafasi za kutosha wakati wakutumia mtandao. Kuhudhuria hili semina, ni lazima utumie kifaa abacho lita kuruhusu kuangalia filamu na yaliyomo na pia uwe na kifaa cha kusikiza.

 
Kuta kuwa na orodha ya kuongojea katika hili semina. Hili orodha la kuongojea litakuwa ijiendeshe yeneywe na kukiwa na waliohudhuria wawe wajitoe katika usajili, basi walio usajili ambao walikuwa wanaongoja wata alikwa katika semina. Hili orodha la kuongojea lita tumika mwanzoni kwa mchakato la kujiendesha enyewe na kufuatilia mahitaji la semina.  Kila mmoja wa semina inahitaji usajili tofauti.

Ukijiandikisha kwa hili semina, tafadhali kama unauwezo, tumia barua pepe na jina ile ile unayotumia wakati  unatumia akaunti ya worksourcewa.com.

Kama utahitaji usaidizi zaidi kushirikia hili mafunzo, tafadhali wasiliana na Leila Abdikarim kwa Leila@tracassoc.com. Tafadhali patiana jina lako, mahitaji/maombi lako, na sehemu/mji unayo kaa. Tafadhali ulizia mahitaji yako na mapema ndipo mpangilio liwezwe kufanywa.