BEGIN:VCALENDAR
VERSION:2.0
PRODID:-//WorkSource Seattle-King County - ECPv6.6.4.2//NONSGML v1.0//EN
CALSCALE:GREGORIAN
METHOD:PUBLISH
X-WR-CALNAME:WorkSource Seattle-King County
X-ORIGINAL-URL:https://worksourceskc.org
X-WR-CALDESC:Events for WorkSource Seattle-King County
REFRESH-INTERVAL;VALUE=DURATION:PT1H
X-Robots-Tag:noindex
X-PUBLISHED-TTL:PT1H
BEGIN:VTIMEZONE
TZID:America/Los_Angeles
BEGIN:DAYLIGHT
TZOFFSETFROM:-0800
TZOFFSETTO:-0700
TZNAME:PDT
DTSTART:20260308T100000
END:DAYLIGHT
BEGIN:STANDARD
TZOFFSETFROM:-0700
TZOFFSETTO:-0800
TZNAME:PST
DTSTART:20261101T090000
END:STANDARD
END:VTIMEZONE
BEGIN:VEVENT
DTSTART;TZID=America/Los_Angeles:20260206T110000
DTEND;TZID=America/Los_Angeles:20260206T120000
DTSTAMP:20260421T043352
CREATED:20260121T233504Z
LAST-MODIFIED:20260206T195815Z
UID:10019218-1770375600-1770379200@worksourceskc.org
SUMMARY:Swahili Speakers ONLY- SEMINA YA MTANDAONI KATIKA MKOA – Mikakati wa kutafuta kazi /Job Search Strategies
DESCRIPTION:Kujulia juu ya waajiri katika eneo lako na kuunda mikakati la lengo za kutafuta kazi\, ndio kifunguo cha mafanikio. Katika darasa la mikakati vya kutafuta kazi\, utajifunza namna nyingi ya mbinu ya kutafuta kazi. Hii darsa lita patiana bakshishi ya thamani juu ya soko la ajira na kukuwasilisha aina zengina za mikakati kama  muungano wa mtandao\, habari kuhusu mahojiano\, na jinsi la kutumia mtandao kupata fursa za kazi \n  \n  \nTafadhali nenda katika eneo la WorkSourceWA.com na ujenge akaunti lako kabla kuanza semina. \nKabla Kujiandikisha\, anagalia kama uko na manufaa wa mtandao utakayo weza kutumia kwa hili semina. Angalia hapa. Filamu la hili semina lita tumia nguvuna nafasi nyingi za mtandao. Kabla kujiandikisha\, hakikisha uko na WiFi na nguvu/nafasi za kutosha wakati wakutumia mtandao. Kuhudhuria hili semina\, ni lazima utumie kifaa abacho lita kuruhusu kuangalia filamu na yaliyomo na pia uwe na kifaa cha kusikiza. \n Kuta kuwa na orodha ya kuongojea katika hili semina. Hili orodha la kuongojea litakuwa ijiendeshe yeneywe na kukiwa na waliohudhuria wawe wajitoe katika usajili\, basi walio usajili ambao walikuwa wanaongoja wata alikwa katika semina. Hili orodha la kuongojea lita tumika mwanzoni kwa mchakato la kujiendesha enyewe na kufuatilia mahitaji la semina.  Kila mmoja wa semina inahitaji usajili tofauti. \nUkijiandikisha kwa hili semina\, tafadhali kama unauwezo\, tumia barua pepe na jina ile ile unayotumia wakati  unatumia akaunti ya worksourcewa.com. \nKama utahitaji usaidizi zaidi kushirikia hili mafunzo\, tafadhali wasiliana na Leila Abdikarim kwa Leila@tracassoc.com. Tafadhali patiana jina lako\, mahitaji/maombi lako\, na sehemu/mji unayo kaa. Tafadhali ulizia mahitaji yako na mapema ndipo mpangilio liwezwe kufanywa.
URL:https://worksourceskc.org/event/swahili-speakers-only-semina-ya-mtandaoni-katika-mkoa-mikakati-wa-kutafuta-kazi-job-search-strategies-1948/
CATEGORIES:North Seattle
END:VEVENT
END:VCALENDAR